Pages

Wednesday, May 22, 2013

NISHA KUJA NA SURPRISE YA KUFANYA KAZI KIMATAIFA KATIKA FILAMU.

Salma Jabu(Nisha) who is a famous actress in Swahili movies amesema kuwa anakuja na surprise kuelekea kufanya kazi kimataifa zaidi.  Nisha alifunguka hayo baada ya SWP kumuuliza kama ana mpango wa kufanya kazi kimataifa hivi karibuni kwa kushirikiana na wasanii wa nje ya nchi ikifikiriwa kuwa kampuni yake ya filamu ya Nisha's Film Production kwasasa inafanya vizuri na hata kuhamia kwenye nyumba mpya ya kisasa juzi kati aliliambia gazeti moja pendwa kuwa ni matunda ya kazi zake za filamu alizotengeneza mwaka jana."Kila mtu ana fanya kazi kwa ajili ya kujitanua zaidi,na NISHA'S FILM PRODUCTION haipo nyuma kwa hilo imejipanga haswaa!na hivi karibuni,tutakuwa na suprise kubwa inayoshabihiana na swali lako,tuseme inshaallah" alisema actress huyo aliyejaaliwa macho yenye mvuto wa kimahaba.

                                                       Nisha




No comments:

Post a Comment