Pages

Sunday, May 26, 2013

LULU, MAMA LULU NA MAMA YAKE KANUMBA WADHIHIRISHA HAWANA TOFAUTI HATA KIDOGO.

Kutoka kushoto ni mama yake Lulu, actress Elizabeth Michael(Lulu) na kulia ni  mama yake marehemu Steven Kanumba aliyekuwa actor maarufu Swahiliwood. Angalia waki-show love kuonyesha hakuna mwenye kinyongo na mwenzake.


No comments:

Post a Comment