Pages

Sunday, May 26, 2013

ACTRESS LULU WILL MAKE HEADLINES FOREVER, LOOK AT HER LATEST KILLER LOOK.

Actress Elizabeth Michael famously known as Lulu anajua kujipanga kweli kuhakikisha bado anakuwa juu kiumaarufu licha ya kwamba mpaka sasa hajazungumza na media tangu atoke selo na hataki kuzungumza now anasema anajipanga kufanya press release. Licha ya kwamba pia hajaigiza filamu bado na kuingia sokoni tangu atoke segerea lakini amekuwa akiachia picha mbalimbali akiwa katika pozi matata ambazo huwa zinakuwa gumzo na kufuatiliwa na mashabiki wake wengi hata kama ni za kawaida tu. Look at her latest look, Hot or not?.............


No comments:

Post a Comment