Saturday, May 25, 2013

FEZA KESSY TO BE TANZANIAN REPRESENTATIVE FOR BIG BROTHER AFRICA 2013 "THE CHASE"

Baada ya uvumi kusambaa kuwa Wema Sepetu na ndugu yake Diamond Platinumz Romeo Rommy Jones kuwa ndiyo watakuwa wawakilishi katika shindano maarufu la Big Brother Africa mwaka huu ambalo litaitwa Big Brother Africa(The Chase), this time it is former beauty queen turned singer Feza Kessy who is rumoured to be Tanzanian official representative for Big Brother Africa 2013 which will get together 28 representatives from 14 African countries. Swahiliworldplanet asked Feza Kessy about this buzz if it is true or not but mpaka tunaandika habari hii Feza hakujibu chochote kitu ambacho sio kawaida yake kwakuwa mara nyingi akiulizwa kitu kinachotaka maelezo yake hutoa ushirikiano vizuri. Hata hivyo taratibu za shindano hilo haziruhusu jina la mshiriki kujulikana mapema na hutakiwa kuwa surprise siku ya ufunguzi rasmi ambao kwa mwaka huu ni kesho nchini S.Africa hivyo hata kama ni kweli Feza ndiye mwakilishi mwaka huu isingekuwa rahisi kwa yeye kusema chochote hasa jibu la "ndiyo". This year's BBA winner will get $300,000 cash prize.

Feza Kessy was Miss Dar City Center and Miss Ilala in 2005 and she was given the big chance to win the Miss Tanzania crown 2005 however Nancy Sumari won the prestigeous tittle and the sexy singer ended up being the 3rd runner up. Her sister is Saida Kessy who was Miss Tanzania winner in 1997. Is this true Feza is our Tz delegate to BBA 2013? let's wait and see tomorrow. Look at her photos below................
                        
from left is Feza Kessy, Rick Rose and singer Vanesa Mdee

No comments:

Post a Comment