Baada ya Chid Benz kutoboa pua yake baadhi ya watu walimkandia akiwemo Ney wa Mitego kumuita shoga kwa kitendo chake hicho cha kutoboa pua kama mwanaume. Chid Benz nae amerudisha mapigo kwa kuandika kuwa Ney wa mitego ni jina la kike akiliandika kama Neema wa Mitego. Angalia jinsi mastaa hao wanavyoshushiana heshima bila chenga..........
No comments:
Post a Comment