Wednesday, April 3, 2013

"USIKU WA FASHIONISTAZ" THIS FRIDAY AT NYUMBANI LOUNGE WITH MACHOZI BAND.

USIKU WA FASHIONISTAZ ni show ambayo itafanyika Nyumbani Lounge ijumaa hii ya tarehe 5 lengo likiwa kuwakutanisha fashionistas wote kwa pamoja. Show hiyo imeandaliwa na Wancy Nells Emma ambaye ni mwanamitindo anayekuwa kwa kasi huku akiwa anamiliki kampuni yake ya modelling, Asya Idorous and Wancy watonyesha kazi zao siku hiyo huku Machozi Band chini ya Lady Jay wakitarajiwa kutoa burudani ya kufa mtu, Pia red carpet itakuwepo. Kiingilio ni sh. 10,000 so jipange sasa huu si usiku wa kukosa kama wewe ni fashionista.




No comments:

Post a Comment