Tuesday, April 30, 2013

KAMA UNATAKA KUIGIZA NA WEMA SEPETU, CYNTHIA MASASI NA STAR WA NOLLYWOOD NAFASI HII HAPA.

Cynthia Masasi ambaye ni Mtanzania aliyewahi kutokea katika video za wanamuziki wakubwa wa marekani kama vile T.I, Rick Rose, Buster Rhimes, Nelly, Jazzy Pha na wengineo anatarajiwa kuwa katika filamu moja na Wema Sepetu na star mwingine wa Nigeria. Filamu hiyo itatengenezwa na kampuni ya Rimacy Entertainment ya Tanzania na inatarajiwa kuzinduliwa Tanzania, Kenya, Uganda, Uingereza na Marekani. Pia wanatakiwa waigizaji wapya katika audition itakayofanyika tarehe 4 mwezi May Vigezo ni hivyo hapo chini na audition itafanyika Nyumbani Lounge.......

BE THERE @ NYUMBANI LOUNGE ON SATURDAY

 4th MAY 2013 WITH UR 2 PHOTOS FROM 9am to 10pm

Project Type: Feature Film

Production Location: Dar-Es-Salaam, Tanzania

Where: Nyumbani Lounge Restaurant from 10am-4pm

When: May 4th 2013


Character Breakdowns:
•A Girl / 5-8 Years. / Any Ethnicity
•Female / 25-30 Years. / Any Ethnicity
•Male/ 31-40 Years. / Any Ethnicity
•Male / 41-50 Years. / Caucasian
•Male / 18-24 Years. / Any Ethnicity
•Female / 18-24 Years. / Any Ethnicity
•Male / 25-30 Years. / Any Ethnicity
•Female / 25-30 Years. / Caucasian
•Male / 31-40 Years. / Any Ethnicity
•Female / 31-40 Years. / Any Ethnicity
.Female / 51-60 Years./ Any Ethnicity
.Male / 31-40 Years./ Caucasian
If you have any questions email us rimacy.group@yahoo.com..................................0713302075

 

No comments:

Post a Comment