Jana katika ukumbi wa DarLive kulikuwa na mpambano wa NANI ZAIDI wa makundi mawili ya muziki wa kizazi kipya. Wanaume halisi chini ya Juma Nature na Wanaume Family chini ya Temba na Chege. Katika mpambano huo uliokuwa mkali mashabiki walimkubali zaidi Nature kuwa mfalme wao. Jionee mwenyewe
Temba na Chege
Kuangalia picha zaidi please ingia hapa www.globalpublishers.info
No comments:
Post a Comment