Wednesday, March 13, 2013

WEMA SEPETU ANYOA NYWELE ZAKE. PIA ASEMA NI KWELI ANAKUJA NA REALITY TV SHOW.

Actress mwenye makeke kibao na former miss Tanzania Wema Sepetu ameamua kunyoa nywele zake na kuwa na nywele fupi ambazo hazina gharama ya kuzitunza. Wema ameonekana kupendeza na style hiyo mpya ya nywele. Pia exclusively swahiliworldplanet inakujuza kuwa Wema ambaye umaarufu wake haukauki zaidi ya kuzidi kukua kila siku anakuja na reality Tv show. SWP imemuuliza Wema kama ni kweli anakuja na reality Tv show mfano wa Keeping up with the Kardashians na kuhusu gauni alilovaa kwenye women celebration hivi karibuni kama thamani yake ni mil 1.5 wema ameyajibu yote hayo kwa ufupi kwa kusema "Yaaah! Ni kweli". Kama kweli show hiyo itakuwa imeandaliwa kwa mikakati mizuri Wema anaweza  kujizolea mashabiki wengi zaidi nje ya nchi na kuingia mikataba na vituo vingine vya Tv maana the beautiful Onyinye was born to be maarufu. Huu ni muda wa Tv za bongo kuzidi kuchangamka. Look at her new hair style.
                                                 Hongera sana Wema


No comments:

Post a Comment