Monday, March 25, 2013

MZEE ONYANGO ARUDI KWA KASI KATIKA FILMS. AJA NA ZEBRA AKIWA NA KING MAJUTO, ODAMA NA FRANK.

Tanzanian long time actor Mzee Onyango anaonekana kurudi kwa kasi sana katika tasnia ya filamu nchini. latest news ni kuwa  Mzee Onyango ambaye alianza sanaa ya maigizo miaka ya 1980s anakuja na filamu ya ZEBRA akiwa na King Majuto, Frank na Odama, filamu hiyo inamaliziwa shooting jijini Tanga. Mzee Onyango ambaye pia mwanae Kabuti Onyango ni Cameraman maarufu Swahiliwood kwa sasa anakimbiza sokoni na filamu ya Nyumba Nne ambayo pia yupo na King Majuto na Amanda Poshy. Pia films zake nyingi mpya zipo mbioni zinakuja. Mzee Onyango amesema kuwa anafurahi sana kuigiza na waigizaji vijana wa kizazi hiki. Filamu ya Zebra imeandaliwa na King Majuto.


No comments:

Post a Comment