"nilikuwa nawe vizuri tuh juzy nilikufanya km ndg yangu kumbe hata lile tukio lililo taka nikuta uck ww ndo ulipanga??ndo maana huwa ctaki marafiki lkn nikikaa mwenyewe mnasema naringa nikisogea karibu yenu mnaniangamiza!"
"siku zote nanyamaza lkn hadi mm kuamua hivi ujue mmenikera;ni hii c mara yako ya1 wajifanya rafiki kumbe mnafki!ss nataka unionyeshe huo ujini wako!ulionifanyia juzy ufanye na hapa dar!!waambie na wenzio!!na mm lazima nilipe kisasi kwa unaye mpenda maana umeniharibia mno!!km ww jini kabula mm jini maimuna!"
Baada ya kuona hizo post swahiliworld iliamua kumwendea hewani Rayuu na kumuuliza ni kitu gani kibaya ambacho amefanyiwa na Jini kabula ingawa inaonekana ni issue la kimapenzi. soma mahojiano ya Rayuu na swahiliworldplanet hapo chini
Jini Kabula
SWP: Hi Rayuu ! pole na matatizo! mashabiki wako wanataka kujua nini kimetokea kati yako na Jini kabula? maana swahiliworldplanet imeona picha zako ukiwa na jini kabula mkionekana kama mashostito wakubwa bt hali ni tofauti na ulichoandika katika wall yako facebook !
RAYUU :
mshamba yule,
nilisafiri
naye juzi alichonifanya ctosahau!!nimeambiwa leo na mtu wake wa
karibu!yaan kimeniuma na yy ndo alifanya hadi tukasafiri jn ndo tumerudi
kumbe alikuwa na nia mbaya.
SWP: Pole sana Rayuu! amefanya nini lakini maana wewe ni mtu maarufu mashabiki wako wangependa kujua ili kuondokana na utata na jini kabula ni maarufu pia.
RAYUU:
SWP: Pole sana Rayuu! amefanya nini lakini maana wewe ni mtu maarufu mashabiki wako wangependa kujua ili kuondokana na utata na jini kabula ni maarufu pia.
RAYUU:
me cjui hata nianzie
wapi lkn juzi nilitaka pata tukio baya kumbe yy ndo kapanga na nia
yakunisafirisha ni kuniharibia mm sijichanganyi unajua kabula ni jini
kweli lkn kwa hili chozi linalodondoka atalilipa km yy jini kabula mm
jini maimuna ,
na ukweli nimejua leo asubuhi.
SWP: Pole sana, kwani tukio hilo ni zito au kubwa sana kiasi kwamba unasita kutueleza ili mashabiki wako wajue ulichofanyiwa?
RAYUU: kabula mshenzi sana me nilijua kabadilika kumbe co
SWP: amefanya nini ili kuondoa utata na ujumbe umfikie. na ni ushenzi gani huo aliofanya Rayuu ili wengine wajue chanzo cha tofauti zenu?
RAYUU: yy c anajifanya kapinda yy ndo aongee kila kitu alichonifanyia kumbe alilipa watu wanifanyie vile ili aje aniharibie!!
SWP: Ok ahsante sana basi tunamtafuta jini kabula na kumsomea mashtaka yake pia.
Jini Kabula ameshindwa kupatikana ili kujua upande wake anasemaje mpaka tunaandika habari hii lakini swahiliworldplanet imemtumia ujumbe wake so akijibu naye tutamuweka hapa ujue kila kitu
Rayuu akiwa katika pose

No comments:
Post a Comment