Swahiliwood sexy actress Irene Uwoya who gained fame few years back after she portrayed the title role in the hit movie Oprah(Hot sunday) has announced that she is looking for new actors zaidi ya 30 from Morogoro and Dodoma to act with them in her upcoming film ambayo hakuitaja jina bado so acting talents za pande hizo zijiandae kwa ajili ya issue hiyo, amesema filamu hiyo itakuwa ya kihistoria katika films za swahiliwood. Kuhusu lini usaili utafanyika na wapi Uwoya alisema ndIo anakamilisha mipango ya mwisho na ataeleza soon kwenye media. Filamu hiyo itakuwa sokoni mwishoni mwa mwezi wa sita au mwanzoni mwa mwezi wa saba.
Akizungumza na mtandao wa Bongo movie Uwoya revealed that her role in the film will be a village girl and she is coming differently this time contrary to many of her movies ambazo amecheza kama mwanamke kutoka familia zinazojiweza. "watu wamezoea kumuona Irene akiigiza ndani ya nyumba nzuri na
magari mazuri kila siku, hawajui kama Irene huyu huyu anaweza kufanya
movie kama mtu wa kijijini sana asiyejua hata matumizi ya simu ni nini".
It will be the first film to be produced by Irene who has acted in many movies including My Dreams, Last Card, Sobbing Sound,Offside and she has many fans in countries like Rwanda, Congo and Burundi.
Hongera sana Uwoya kwa kukumbuka vipaji vipya
No comments:
Post a Comment