Sunday, March 17, 2013

FASHION DESIGNER HAMEED ABDUL ANATARAJIA KUFANYA MAKUBWA MWAKA HUU.

Tanzanian fashion designer Hameed Abdul has said that fans wa kazi zake za mitindo watarajie mambo mazuri this year since anakuja na collection itakayodhihirisha kuwa yeye ni nani, Pia designer huyo anayependelea zaidi kutumia mitindo ya kiafrika katika kazi zake amesema kuwa ana mpango wa kufanya fashion show yake mwaka huu ili azidi kutangaza kazi zake. Alipochonga na swahiliworld Hameed said "Kiukweli mikakati yangu kwa mwaka huu fans wangu  watarajie mengi mazuri kutoka kwangu, nipo kimya  kidogo kwa sasa but nakuja na  bonge la collection,all ma fans wakae mkao wa kula, nataka niandae show" . see some of his designs below.........
 if you would like to buy his designs contact him through his facebook account here
http://www.facebook.com/hameed.abdul.965

                                     Right is designer Hameed


No comments:

Post a Comment