Sunday, March 24, 2013

BAADA YA JACKIE WA CHUZI KUOLEWA, ISABELA MPANDA NAE KUOLEWA NA LUTENI KARAMA.

Isabela Mpanda who is a singer and actress soon ataolewa na mwanamuziki Luteni Karama. Mrembo huyo aliyasema hayo baada ya kuulizwa na Swahiliworldplanet kama ana mpango wowote wa kuolewa hivi karibuni hasa baada ya rafiki yake wa karibu Jackline Pentezel kuolewa wiki hii kimya kimya. alisema "Mimi soon na luteni karama". Pia alipoulizwa kama ataachana na muziki na uigizaji mara baada ya kuolewa mrembo huyo alijibu "vyote nitafanya na siwez kuacha kwan Luten karama nae mwanamzik". Angalia photos za Isabela alipokuwa kwenye harusi ya Jackline Pentezel....



 

No comments:

Post a Comment