Saturday, January 26, 2013
UHABA WA WANAUME WADAIWA KUMTESA JACKLINE WOLPER
Jackline Wolper actress mwenye jina kubwa Afrika mashariki amedaiwa kukosa mtu wa kutambulika na hata kujulikana kwa mashostito wake kama mpenzi wake. chanzo kilicho karibu na Wolper kimeiambia swahiliworldplanet kuwa wolper kwasasa yupo yupo tu hana mtu maalum wa kutoka nae na hata mishe mishe zake kwenda club na matanuzi amepunguza "now Wolper hana bwana anayejulikana if she has basi atakuwa anamsoma before hajamtambulisha kwa friendz na jamaa zake wengne u knw she is a star wanaume wengi wanampapatkia ili kuwa nae wauzie sura town tho Jack anangalia pia mtu mwenye hadhi yake".Chanzo hicho kikaendelea "we kaka hao mabwana wenyewe siku hizi wako wapi? ni adimu sana hasa wenye pesa na wengine wanamuogopa wolper kwa u-star wake". Baada ya kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake aitwae Dallas mwishoni mwa mwaka jana Wolper anadaiwa kutokuwa na mpenzi kwakuwa angekuwa tayari anaandikwa na kujulikana kwenye media.swahiliworldplanet imeshindwa kumpata wolper lakini bado inamtafuta ili aweke yaliyo moyoni mwake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment