mishe mishe za USIKU WA MASTAA WA FILAMU ndiyo zinafikia ukingoni maandalizi yakiwa ya kufa mtu.event hiyo inafanyika Dar live kesho jumamosi tarehe 26 kiingilio viti vya kawaida kikiwa sh.7,000/= na V.I.P ni 15,000. Red carpet kwa ajili ya mastaa hao kupita lipo tayari kama inavyoonekana.Una maoni yoyote baada ya kuona red carpet for the event?
No comments:
Post a Comment