Pages

Wednesday, January 16, 2013

DJ MAARUFU WA MAREKANI AMPIGIA SALUTE VANESSA MDEE

Professor Jay ameonekana kukunwa sana na wimbo mpya wa Vanessa Mdee(closer) ambao umeanza kuonekana kumtambulisha rasmi singer huyo chipukizi na mtangazaji maarufu ndani na nje ya Bongo.Katika mtandao wa twitter Professor Jay ameandika "Vanessa Mdee unakipaji cha hali ya juu sana sana, naomba ukichukulie SERIOUS, maana naona kama bado unauchukulia muziki kama HOBBY". punde Vanessa akajibu "coming from you,That means everything, nashukuru na nimekusikia. I'm serious about this thing, ahsante" alijibu Vanessa. Pia DJ maarufu kutoka marekani amabaye alikuja nchini DJ TOPSIN aliusifia wimbo wa baby Vanessa kwa sana. ma-dj mbalimbali kutoka nchi kadhaa pia wamemsifia sana kwa wimbo huo. So Vanessa has started her career very well as a musician usishangae akija kuwa kwenye chart za billbord na kina Beyonce, Rihanna na wengineo coz the gal has talent, screen presence and is a fashion icon too. May God bless this chic.

No comments:

Post a Comment