Thursday, January 24, 2013

AFRICA MAGIC VIEWER'S CHOICE AWARDS 2013 REVEALS IT'S OFFICIAL TROPHY

Tuzo mpya za filamu barani Africa zitakazotolewa mwezi wa tatu mwaka huu tayari zimeshatengenezewa trophy yake maalum kwa ajili ya kuzitambulisha tuzo hizo kama zilivyo tuzo nyingine duniani. Trophy hii ndiyo itatolewa kwa washindi wa categories mbalimbali kutoka nchi tofauti za kiafrika. Tuzo hizo zinajulikana kama AFRICA MAGIC VIEWER'S CHOICE AWARDS(AMVCA).Nominees wa tuzo hizo kutoka nchi mbalimbali za kiafrika watatajwa tarehe 28 next monday.

No comments:

Post a Comment