Justin Zawadi |
Movie zilizochenzwa:
- NIMWAMINI NANI PARTI 1 ( Nimwamini Nani )
- THE TRUTH ALWAYS COME OUT
- SORRY MY WIFE PART 1 ( Trailer )
UPANDE YA WA MASHABIKI WALIO MBALI:
- Kuweka FILM zao YOUTUBE: IF I KNEW, MOYO WANGU, DON´T LOOK DOWN UP ON THE POOR na short films.
USAMBAZAJI:
- Kufikisha movie zao: BUJUMBURA, UVIRA, BUKAVU na GOMA.
- Hadi sasa kazi hizo zimeendelea na mengi yatakuja mwaka huu wa 2015.
MOVIE MPYA kusubiriwa kwa hamu sana TANZANIA,CONGO,KENYA,BURUNDI n N.k
- NIMWAMINI NANI PART 1 & 2
- SORRY MY WIFE PART 1 & 2
MWAKA WA 2015:
V.A.D FILM PRODUCTION inaombea mwaka 2015 wwe mwaka ya mafanikio ya kazi zao na maendeleo kama wa pendwa wetu wengi wanavyotaka tufike mbali na Mungu asaidie kazi za movie za kiswahili.
Kutokana na hayo DIRECTOR, JAY MSABAHA amesema ujumbe kabambe kwa mashabiki mwaka 2015 ni mwaka wake wa kazi za kisasa yeye na team nzima ya VAD..
Katika mazungumzo na makamu Rais wa V.A.D ndugu JUSTIN ZAWADI anasema tumefurahia sana mashabiki wetu kwakutuma barua zao kwa e-mail yetu na facebook ya kwa kufurahia kazi zetu na kutuombea mafanikio zaidi.
Hakuishia hapo, alisema pia V.A.D kwa hali na mali itahakikisha mwaka 2015 itawaletea mapya kabisa, kwahiyo mashabiki wakae mkao wa kula na hivyo kendelea kuomba sapoti kama walivyosikia toka kwa mtangazaji Rehema Nkalami wa Swahili Talk Radio.
Jay Msabaha
Justin Zawadi |
No comments:
Post a Comment