Pages

Wednesday, December 3, 2014

Photos: Uzinduzi Wa Siri Ya Mtungi Saeson 2 Wafana.

Uzinduzi wa siri ya mtungi season II ndani ya ukumbi wa Century  Cinemax Oysterbay  wafana hapa ni kati ya washiriki wakipata ukodak wa pamoja na wafadhili waliofanikisha Episode hii kukamilika na kuwa hewani. Wafadhili hawa ni kutoka Marekani na ndiyo chachu ya Episode hii kukamilika na kuiwezesha kuwa hewani hili watu wajifunze kilichopo ndani yake.
Vyombo vya habari pamoja na Camera ya Vijmambo vikiwajibika hili kuwajuza kilichokuwa kimefanyika ndani ya ukumbi huu wa Century Cinemax.

 Juu na chini washiriki wa Episode hiyo wakibadirishana mawazo huku pia wakiendelea kuangalia walichokifanya ndani ya Episode hiyo. 

Ni mambo ya ukodak tu mwanzo mwisho hili kutunza kumbukumbu kwa washiriki wa Episode hiyo
Starring wa Episode hiyo bwana Juma Rajabu aka Cheche akiongea mbele ya camera juu ya nini alichokifanya ndani ya Episode hii ya siri ya mtungi. Kwa picha zaidi jitiririshe kwa kubofya soma zaidi.

credit: Jestinageorge blog

No comments:

Post a Comment