Thursday, December 4, 2014

Photos: Designer Sheria Ngowi Akutana Na Waziri Mkuu Mizengo Pinda.

 WaziriMkuu, MizengoPinda akisalimiana na Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi alipotembelewa jana nyumbani kwake Masaki jijini Dar esSalaam
 Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi akimuonesha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baadhi ya vitambaa vya kisasa vya suti ambavyo vitatuka  Kumtengenezea Waziri Mkuu  jana jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiangalia na kuchagua aina ya vitambaa vya suti amabvyo vitatumika kutengenza baadhi ya Suti Zake alipotembelewa na Mbunifu wa Kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi jana jijini Dar es Salaam.Picha Zote: Atuza Nkurlu-Sheria Ngowi Brand

No comments:

Post a Comment