Tuesday, December 2, 2014

Photos: Diamond Platnumz Apokelewa Kwa Shangwe Baada Ya Kushinda Tuzo 3 Channel O Awards 2014.

Diamond baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.
Diamond Platnumz' ametua nchini leo akitokea S.Africa alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One. 








No comments:

Post a Comment