Pages

Saturday, November 22, 2014

Young Ray Na Jux Kuwashika Mashabiki Na Wimbo Wa Uzuri Wake.

Msanii chipukizi wa kizazi kipya Young Ray anakuja kuwashika mashabiki wa muziki wa kizazi kipya na ngoma yake iitwayo "Uzuri Wake" ambayo amemshirikisha Jux. Wimbo huo utatoka muda si mrefu.

No comments:

Post a Comment