Irene Laveda ambaye alikuwa mwakilishi wa Tanzania katika Big Brother Hotshot 2014 amesema kuwa madai ya kudaiwa kujichua Big Brother ni uzushi
uliotengenezwa na washiriki wenzake wa nchi nyingine baada ya kumuona ni tishio ana kipaji kikubwa tangu siku ya kwanza. Laveda ambaye pia ni actress na mwanamuziki akizungumza na Globalpublishers amesema kuwa kama kweli alifanya tukio hilo basi video zingekuwa zishasambaa mitandaoni kwani Big Brother wasingeweza kuzizuia.
" Sijawahi kufanya hivyo wala kufanyia mtu mwingine, hapa kinaongelewa kitu ambacho hakijaonwa, mimi niko hapa wiki ya ngapi sijui, hizo video zinatafutwa hazijapatikana, sidhani kama kweli Big Brother watazuia kuonesha hizo clips, waliokuwa wananiongelea mimi wanatoka nchi zingine na alishaniona nina kipaji tokea siku ya kwanza, nilikuwa nina asilimia 85 na kiongozi na ukiwa kiongozi lazima utakuwa ‘nominated’"
No comments:
Post a Comment