Kajala |
Kajala amejiunga Facebook jana usiku na akaunt yake ni hii hapa Kajala Masanja . Swahiliworldplanet imepata uhakika kuwa kweli hiyo ni akaunt halisi ya muigizaji huyo wa filamu za Devil Kingdom, Kigodoro na Kijiji Cha ambua Haki. Pia Kajala anatarajiwa kutamba na filamu yake mpya iitwayo Pishu
No comments:
Post a Comment