Pages

Wednesday, November 19, 2014

Balaa Bado Lamuandama Sitti Mtemvu, Kufunguliwa kesi Ya Kughushi Cheti Muda Si Mrefu.

Kesi ya sakata la kudanganya umri ambalo linamkabili aliyekuwa miss Tanzania mwaka 2014 Sitti Mtemvu linakaribia kufunguliwa baada ya uchunguzi unaofanywa na RITA kuelekea ukingoni.

Habari toka RITA zimeeleza kuwa taasisi hiyo iko katika hatua za mwisho za kukamilisha taarifa za uchunguzi kwa kuangalia wote waliohusika kudanganya umri na kumpatia Sitti cheti kipya kilichotolewa septemba 9, mwaka huu ambacho kinaonesha amezaliwa mei 31,1991

No comments:

Post a Comment