Pages

Wednesday, October 15, 2014

Wema Sepetu Kuingiza Sokoni Filamu Zake 10 Kwa Mpigo.

Wema Sepetu
Wema Sepetu anatarajia kuachia filamu 10 kwa mpigo sokoni !.....Kwa mujibu wa meneja wake yaani Martin Kadinda akizungumza na Mtanzania Wema anatarajia kuziachia filamu zake kwa mpigo sokoni ambazo kuna mpya na alizotengeneza siku za nyuma kidogo lakini
akashindwa kuziingiza sokoni kwa wakati kutokana na sababu maalum ikwemo filamu ya Superstar ambayo ilidaiwa kugharimu shilingi mil.60 na ushee

No comments:

Post a Comment