Sunday, October 5, 2014

Waridi Alinivutia Kujitosa Katika Sanaa Ya Uigizaji: Davina Halima Yahaya

Davina
Star wa Filamu nchini Tanzania Davina Halima Yahaya amesema kuwa muigizaji mkongwe nchini Waridi ndiye aliyemfanya ahamasike kuingia katika uigizaji. Davina ambaye kwasasa ni mmoja wa waigizaji maarufu na wenye vipajin nchini kupitian Instagram ameandika.....


'Jaman mnamkumbuka da Waridi? Me Waridi ni mmoja wa madada walionivutia kuingia katika hii kazi ya uigizaji kiukweli hakuna ubishi walikua wanaweza pale waridi, huku@single_mtambalike hapa Bishanga pemben Aisha nikikosa Igizo lao nilikua nataman kulia sasa bi Warid anarudi tena mkongwe akiwa sambamba na wakongwe wengne sabrinarupia na yahaya aka @dudebongo na kaka Dino..unaanzaje kuikosa hii najua mna-miss kazi zake basi #MCHEPUKO coming soon msiikose wapenzi'

                                                                             Waridi

No comments:

Post a Comment