Saturday, October 11, 2014

Sitti Mtemvu Atwaa Taji Miss Tanzania 2014 Na Kujinyakulia Mil.18

Sitti Mtemvu toka kanda ya Temeke ametwaa taji la Miss Tanzania 2014 usiku wa kumkia leo katika ukumbi wa Mimani City jijini Dar es salaam.
Kwa ushindi huo Sitti amejishindia shillingi mil.18 na kuipeperusha bendera ya Tanzania katika mashindano ya Miss World 2015.

Nafasi ya pili ilichukuliwa na Lilian Kamazima wakati Jihan Dimachk aliyetarajiwa na wengi kuchukuwa taji akiambulia nafasi ya tatu. Nafasi ya nne ilienda kwa Dorice Mollel na Nasreen Abdul akishika nafasi ya tano.


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment