Pages

Wednesday, October 15, 2014

Photos: AY Ashuti Video Yake Mpya Na Sean Kingston Nchini Marekani.

Msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya Tanzania, AY yupo nchini Marekani kushoot video ya wimbo wake mpya akiwa na msanii maarufu wa Jamaica-Marekani Sean Kingston.
Wimbo huo unatarajiwa kutoka November mwaka huu

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment