Tuesday, October 7, 2014

Ni kweli Diamond Platnumz Ananitongoza Ila Bado Kumkubalia: Meninah

Habari mpya zinasema kuwa Meninah amekiri kutongozwa na Diamond Platnumz lakini bado kumkubalia hivyo kuishia kumtolea nje. Kwa mujibu wa gazeti moja la leo sms za Meninah akichati na rafiki yake akimwambia kuhusu kutongozwa na Diamond zilinaswa na paparazi wa gazeti hilo.
Hata hivyo Meninah alisema Diamond sio type yake hawezi kutoka nae na pia anadaiwa kumkataa Diamond sababu ya Wema Sepetu kwa madai anamheshimu Wema ambaye ndiye anayejulikana hadharani kuwa mpenzi wa Diamond.



Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment