Star mkubwa wa filamu Tanzania asiye na skendoShamsa Ford amesema kuwa anamshukuru sana Mungu kwa filamu yake ya Chausiku kukubalika sokoni na mashabiki kiasi cha kuzidi kumuweka juu kisanaaa.
Akizungumza na Swahiliworldplanet Shamsa mmoja wa mastaa wasio na makuu alisema.......
"namshukuru Mungu na nimefurahi, kikubwa zaidi nitaongeza bidii kwa kila movie nitakayofanya na mashabiki wangu wategemee kazi nzuri zaidi ya Chausiku"
Shamsa Ford
No comments:
Post a Comment