Nisha ameandika
"Nilichojifunza kwenye tasnia yetu ya kuigiza ni kwamba,mashabiki wanapenda sana kazi kuliko mascandals na ndio maana mitaani wananiita majina ya kazi kwa mfano. Tulinave,Pusi,Anjiwike,Betina n.k na kukubali kazi sana... Na ndio maana nlivyolileta neno pyeeeee likashika kasi... Alhamdulillah M'Mungu niongoze nisibadilike niepushe na mascandals ya dunia hii,yalopita yamepita muhimu nimejitambua Alhamdulillah na niwe na bidii ya kazi,kuwa mbunifu wa kazi nzuri kila kukicha,nisibweteke,nijifunze zaidi na zaidi na kuwafurahisha mashabiki zangu wapenzi na kuwaheshimu daima milele ili wanipende zaidi AMEN..."
No comments:
Post a Comment