Pages

Wednesday, October 15, 2014

Naanza Kusambaza Filamu Zangu Mwenyewe Kuanzia Sasa: Kajala

Kajala
Kajala Masanja ambaye ni msanii wa filamu nchini aliyezindua short film yake mpya iitwayo Mbwamwitu hivi karibuni katika ukumbi wa Mlimani City,
Dar es salaam amesema kuwa anatarajia kuanza kusambaza filamu zake mwenyewe kwasasa na hivi karibuni filamu yake mpya iitwayo Pishu itaingia sokoni na ataisambaza mwenyewe.

Hatu hiyo itakuwa moja ya hatua za uthubutu kwa msanii wa kike kusambaza filamu kupitia kampuni yake mwenyewe ambapo wengi wanasita wakiwemo wale wa kiume na kuishia kulalamika kunyonywa na wasambazaji waliopo sasa.

No comments:

Post a Comment