Friday, October 10, 2014

M.Qmobile Tanzania Yaendelea Kuvutia Wafanyabiashara Kutangaza Kwa Bei Nafuu.

Watu na makampuni mbalimbali wameipenda huduma ya kutangaza biashara zao kupitia mtandao wa  M.qmobile.co.tz
 kwa bei nafuu tu ambapo hutangaza biashara za aina zote zikiwemo za makampuni makubwa, makampuni ya kati na yale madogo au biashara ndogo. watu wengi hufikia matangazo ya biashara hizo kupitia simu za kisasa ambazo huyaona kirahisi popote pale wakiwa na simu zao.

Jiunge sasa na M.qmobile.co.tz kwa kutangaza biashara yako kwa bei nafuu

No comments:

Post a Comment