Pages

Friday, October 3, 2014

Mil.90 Ndiyo Gharama Za BMW Alilozawadiwa Diamond Platnumz Kwenye Birthday Yake.

Diamond Platnumz mwanamuziki maarufu wa Tanzania jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa(birthday) iliyohudhuriwa na watu kibao wakiwemo mastaa wenzake. Diamond alizawadiwa gari aina ya BMW na management yake inayoongozwa na Babu Tale na Said Fella.
Sherehe kwa ujumla iligharimu shilingi mil.28 za kitanzania kwa mujibu wa Babu Tale akizungumza na Clouds fm huku akisema kuwa Coca Cola walishirikiana nao kwa ukaribu kwasababu Diamond ni balozi wao
BMW alilozawadiwa Diamond

No comments:

Post a Comment