Pages

Monday, October 13, 2014

Meneja Mpya Wa Lady Jaydee Ni Wakazi.

Rapper Wakazi ndiye meneja mpya wa mwanamuziki superstar wa kik Tanzania Lady Jaydee.
Akizungumza na Mtanzania Wakazi amesema ni kweli yeye ndiye meneja wa msanii huyo ambaye alikuwa akisimamiwa na Gadner G Habash ambaye ni mume wa Jaydee huku wakidaiwa kumwagana siku za karibuni ingawa wote wamekataa kwa nyakati tofauti kuzungumzia issue hiyo.

Wakazi pia hakutaka kuzungumzia issue hiyo mbele ya mwandishi wa Mtanzania ila alisema
"mimi sijui chochote maana nilipokwenda Marekani niliwaacha wakiwa wachumba lakini nilipokuwa huko nikasikia wameona, niliporudi nikawakuta tayari wapo katika ndoa na nimeanzkazi ya umeneja wa Jaydee si muda mrefu hivyo sijui mahusiano yao ya ndani labda muwaulize wenyewe" alisema Wkazi ambaye ni binamu wa Jaydee

No comments:

Post a Comment