Pages

Monday, October 20, 2014

Martin Kadinda Na Wema Sepetu Waenda China Kumtembelea Jackie Cliff Gerezani.

Jackie Cliff na Martin Kadinda
True friendship !....Martin Kadinda ambaye ni fashion designer na pia meneja wa Wema Sepetu  wapo nchini China kumtembelea socialite maarufu Tanzania Jackie Cliff ambaye yupo gerezani nchini humo kutokana na hatia ya kukutwa na madawa ya kulevya.
Kadinda na Wema wameongozana na mfanyakazi wa Wema aitwaye Petitman ambaye pia ni meneja wa msanii Mirror.

Kadinda na Jackie ni marafiki wakubwa sana ambapo kabla ya Jackie Cliff kupata msala huo walikuwa mara nyingi wakionekana wote sehemu mbalimbali.

No comments:

Post a Comment