Lulu |
Kama unavyojua vituko vya Lulu haviishi kupitia Instagram Lulu aliweka picha ya Selena na kumsifia kuwa yupo vizuri hasa kwa uzuri na kuvaa zaidi yake huku akimwita mke mwenzake. Hata hivyo mashabiki walimwambia Lulu kuwa Selena ni mzuri ndiyo ila hamfikii Lulu kwa uzuri na hata kuvaa ingawa Lulu bado yupo Bongo kwani angekuwa huko mtoni angekuwa tishio kwa Selena zaidi ya mara mbili.
"Mke mwenzangu yuko vizuriiii mnooooooo.....Kwa kupendeza huku Nimeamua kuachia ngazi rasmi iii ii. ....He is all yourssssss...!!!#WCW" aliandika Lulu na kuweka picha ya Selena iliyo chini ya habari hii Selena akiwa amevaa kigauni cha rangi nyekeundu
Selena |
Selena ana utajiri mkubwa kuliko Lulu lakini kwa ambao wameona filamu za Selena ni kuwa kwa kipaji cha acting Lulu ana kipaji kuliko Selena sema kibongobongo ndo hivyo bado kipaji kinashindwa kutambulika dunia nzima kutokana na sababu mbalimbali ikwemo waongozaji duni wa filamu. Ila Lulu angekuwa Hollywood pamoja na Selena na Justin Bieber pasingetosha hasa suala hilo la kumuwania Bieber, kwani Lulu pia ni mtu wa drama na kujiamini kwingi kama walivyo wawili hao toka Hollywood na pia wote watatu wapo rika moja.
Lulu |
Selena |
Wewe msomaji unaonaje...?
Lol, it is true Lulu is sexier than Selena, Selena is more famous but she has not great acting talent like Lulu, plus Selena looks stupid
ReplyDeleteTo me Lulu is hotter than Selena
ReplyDeleteLulu kwa vituko tu ni sheedah, angesoma angetusua sana katika filamu
ReplyDeletehuyo selena sura ya kitoto miguu imemkomaa ka nini ! khaa
ReplyDeletekwi kwi kwiiii mdau umenichekeshaje, hiyo miguu ya selena kweli imekomaa hailingani na kajuso kake ka kitoto
DeleteDa wadau mmetisha
ReplyDelete