Pages

Friday, October 10, 2014

Jokate Kuolewa Na Msanii Wa Marekani, Mahaba Yao Yaanzia Studio Nchini S.Afrika.

Jokate
New buzz is that Jokate Mwegelo ambaye ni star mkubwa Tanzania amepata mpenzi mpya baada ya kuwa mpweke kwa muda mrefu sasa baada ya kuacahana na Diamond.

Gossip mpya zinasema kuwa mpenzi mpya wa Jokate ni msanii wa marekani wa muziki na filamu ingawa bado sio maarufu sana kwani bado anapigana ili kuweka jina lake fresh katika entertainment industry ya Marekani na dunia kwa ujumla. Chanzo kimoja kilicho karibu na Jokate kimesema kuwa Jokate na jamaa huyo ambaye kipesa sio haba walikutana takribani miezi miwili iliyopita katika studio za TV moja nchini S.Africa ambayo imemwajiri Jokate kama mmoja wa watangazaji wake(Vj) na mahaba yao kuanzia hapo, inadaiwa zaidi kuwa jamaa kamkubali Jokate na wana mipango ya kuishi pamoja kama mke na mume.

Kikizungumza na Swahiliworldplanet jana chanzo hicho ambacho ni rafiki wa Jokate kilisema...
"Ninavyokuambia Jokate kapata mpenzi mpya wanayependana so much, jamaa ni msanii wa Marekani japokuwa bado sio famous kivile ila pesa anayo, wali-meet S.Africa katika kituo cha Tv anachofanyia kazi Jokate, mahaba yakaanzia hapo, they plan to live pamoja, U know Jokate sio mtu wa matangazo kama wewe ni mfuatiliaji wa lifestyle yake, wanaume wengi wa kibongo wanamtaka na kumsumbua Jokate tangu ways back aliposema yupo single na anatafuta mume but ilikuwa geresha tu, ana mtu tayari Jokate" Kilisema chanzo hicho na kuongeza

"Nyie subirini tu surprise itakuja soon kuhusu issue hiyo"

Hata hivyo Jokate alipojaribu kutafutwa na SWP hakuweza kupatikana lakini takribani week tatu nyuma gazeti moja liliandika habari ya Jokate kuwa na mpenzi toka Marekani ingawa halikusema kuwa ni msanii kama habari hizi mpya toka kwa rafiki wa Jokate zinavyosema.

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment