Pages

Friday, October 17, 2014

Filamu Ya Wema Uko Wapi Kutamba Sokoni.

Filamu ya WEMA upo wapi iantarajiwa kukimbiza sokoni wakati itakapoingia rasmi sokoni tarehe 26 mwezi huu wa kumi. Filamu hiyo imenogeshwa na mastaa kama King Majuto, Msinde Richard Mshanga, Stanley Msungu, Salehe Lufedha.
Hakikisha unanunua nakala yako halisi

No comments:

Post a Comment