Davina |
Me ni mtu wa watu sijuagi kugombana nacheka na napenda kuwa na urafiki na kila mtu ambae atapenda kuwa nami coz maisha mafupi sipendi kuweka bifu za kijingajinga zitawale maisha yangu kitu kimen-ibore nitaweka wazi ninunie nikasirikie ni-block but message sent na hakika utajirekebisha..na ambae ana maugomvi na mtu ambae me sina ugomvi nae eti akasirike Why nakaa nae why namualika katika shughul zangu me siwezi kuacha coz maugomvi yenu hayanihusu...na sijui ya mbele yangu nani atanizika so kila binadamu ni ndugu yangu..SIBAGUI SICHAGUI ATAKAENIZIKA SIMJUI #nimemaliza" aliandika star huyo anayekimbiza sokoni na filamu kibao kupitia Instagram
No comments:
Post a Comment