Sabby Angel Kutoa Wimbo Mpya " Sijapata" Chini Ya Producer Manecky.
Sabby akiwa studio
Muigizaji Sabby Angel ambaye pia ni mwanamuziki ameingia studio kutoa wimbo mpya chini ya producer Bob Manecky. Wimbo huo unaitwa Sijapata na unatarajiwa kutoka hivi karibuni.
Meneja wa Sabby Angel katika masuala yake ya muziki anaitwa Steve Shuma. Sabby amesema kuwa anataka kutusua kote kote yaani kwenye muziki na filamu
No comments:
Post a Comment