Gari la Steve baada ya kuharibika |
ALIYEKUWA mwenyekiti wa Bongo Movie,Steve Mengere,’’Steve Nyerere hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari hivi karibuni maeneo ya Kinondoni.
Akizungumza jijini Dar alisema kuwa alivamia gari kwa nyuma maeneo ya Morroco, Kinindoni,lakini hakuumia ila gari lake liliharika upande wa…
Akizungumza jijini Dar alisema kuwa alivamia gari kwa nyuma maeneo ya Morroco, Kinindoni,lakini hakuumia ila gari lake liliharika upande wa…
Akizungumza jijini Dar alisema kuwa alivamia gari kwa nyuma maeneo ya Morroco, Kinindoni, lakini hakuumia ila gari lake liliharika upande wa mbele.
credit: Josephat Lukaza Blog
No comments:
Post a Comment