Filamu Ya Mikono Salama Yaingia Sokoni Kwa Kishindo.
Filamu mpya ya Mikono Salama tayari imeingia sokoni kwa kishindo. JB, Jokate, Irene Uwoya, Richie na hayati Adam Kuambiana wameonyesha uwezo wao kila mmoja katika movie hii.
Wahi sasa kununua nakala yako halisi ufaidi kilichomo
No comments:
Post a Comment