Friday, September 26, 2014

Diamond, Vanessa Mdee, Peter Msechu Wapendekezwa Tuzo Za AFRIMA Awards Nigeria.

Vanessa Mdee
Wanamuziki wa Tanzania, Vanessa Mdee, Diamond Platinumz na Peter Msechu wametajwa kuwania tuzo za AFRIMA za nchini Nigeria.

Come Over imemuwezesha Vanessa kutajwa kuwania tuzo katika vipengele viwili vya Best African RnB Soul na Best Female Artist in Eastern Africa.
Peter Msechu kupitia wimbo wake Nyota na Diamond kupitia Number One wametajwa kuwania tuzo ya Best Male Artiste In Eastern Africa.
Diamond naye amepata  nafasi mbili katika kinyang’anyiro kupitia wimbo wake wa Number One unawania pia tuzo ya Best African Collaboration
Msechu

No comments:

Post a Comment