Pages

Sunday, September 28, 2014

Diamond Platnumz Amuandikia Wema Sepetu Ujumbe Dhidi Ya Mahasidi Wa Penzi Lao.

Leo ni birthday ya Wema Sepetu, mpenzi wake Diamond Platnumz amemuandikia ujumbe mzuri huku akiwapa vidonge mahasidi wa penzi lao. Diamond ameandika...........

"Laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza...Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa.....vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na mabalaa ya kila aina....lakini siku zote tumekuwa tukipendana na kuthaminiana kama tumeanzana jana, kwakuwa tulijua si kosa lao, ni hawajui tu niwapi tulipotokea...in the world, you may be one person...But to me, you are the world, My Beautiful World...na kama kukupenda ni uwendawazimu basi ni bora Nikabaki kwenye uchizi wangu kuliko kupata Ufahamu....i may not be physically present to stand by you while you cut your cake, but you’ll be in my thoughts the whole day! Happy birthday Darling....mumeo niko nahangaika, bt i will be coming home soon....Love you mama"


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment