Tuesday, August 5, 2014

Kimenuka! Shilole Na Nuh Mziwanda Watwangana ! Usaliti Wa Kimapenzi Watajwa.

Shilole na Nuh
Kimenuka! Mastaa wa muziki nchini Shilole na Nuh Mziwanda wanadaiwa kuwa waligombana sana jana mpaka Nuh Kuchukua kila kilicho chake na kuondoka kwa Shilole.
Habari zinasema kuwa wawili hao walikuwa katika gari aina ya Harrier na humo ndani ikiwa gogoro zito na kunyukana huku Nuh akimtaka Shilole ampe simu yake lakini Shilole kukataa. Inadaiwa wakati wanagimbana msanii wa muziki Chege alikuwa karibu ingawa pia alishindwa kujua kwa undani wawili hao kugombana ingawa sababu inatajwa ni kusalitiana.

Wawili hao week za hivi karibuni walikuwa wakijitapa kwenye media kuwa wanapendana sana na watafunga ndoa. Tutawaleta updates zaidi.........

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment