Uwoya |
Kwa mujibu wa chanzo kimoja kilichoongozana na Uwoya kwenda S.Africa kikizungmza na gazeti moja kilisema kuwa vijana hao walidhani Uwoya ni msanii wa Marekani hasa kutokana na mavazi yake ya kimitego na umbo lake la kuvutia.
"watu wengi wamekuwa wakienda wanawake wenye maumbo flani ya kuvutia hivyo kumfanya Uwoya kuvuta kundi la vijana wengi kumtazama ukizingatia aina ya ngu zenye mvuto anazovaa" kilisema chanzo hicho
Uwoya
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Filamu ya MUME BORA tayari ipo madukani nunua nakala yako halisi sasa
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.
No comments:
Post a Comment