Tuesday, August 5, 2014

Hakuna Kama Kanumba; Mayasa Mrisho

Mayasa
Muigizaji wa siku nyingi nchini Mayasa Mrisho amesema kuwa kwasasa ameachana na mambo ya usimamizi na upambaji katika filamu na bake amerudia kazi yake ya uigizaji kama awali kwasababu wasanii wengi waliopo sasa hawathamini nafasi yake kama mpambaji katika filamu. Akizungumza na Mwanasport Mayasa alisema
'Niwe muwazi katika tasnia ya filamu, kwa sasa hakuna kama marehemu Kanumba, sioni faida ya kufanya kazi kama nilizokuwa nikizifanya na Kanumba, nimerudia kuigiza hakuna mtayarishaji anayejali kazi yangu,' 


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment